Surat Fatiha Tafseer

Wednesday, 29 July 20150 comments

1:1  بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
1:2     الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
   1:3  الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
   1:4 مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
1:5  إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
1:6
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ
Tuongoe njia iliyo nyooka,
1:7
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea


Share this article :

Post a Comment

 
Designed By Zotekali WEB Experts | Call us: +255 (0) 766 632 744
Smart Technologies in Tanzania
Copyright © 2011. MUISLAAMU | All Rights Reserved